Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 87 - النَّحل - Page - Juz 14
﴿وَأَلۡقَوۡاْ إِلَى ٱللَّهِ يَوۡمَئِذٍ ٱلسَّلَمَۖ وَضَلَّ عَنۡهُم مَّا كَانُواْ يَفۡتَرُونَ ﴾
[النَّحل: 87]
﴿وألقوا إلى الله يومئذ السلم وضل عنهم ما كانوا يفترون﴾ [النَّحل: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na hiyo Siku ya Kiyama, washirikina wataonyesha kusalimu amri na unyenyekevu kwa Mwenyezi Mungu, na yatawapotea yale ya urongo waliokuwa wakiyazua na kwamba waungu wao watawaombea |