×

Wale walio kufuru na kuzuilia Njia ya Mwenyezi Mungu tutawazidishia adhabu juu 16:88 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah An-Nahl ⮕ (16:88) ayat 88 in Swahili

16:88 Surah An-Nahl ayat 88 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah An-Nahl ayat 88 - النَّحل - Page - Juz 14

﴿ٱلَّذِينَ كَفَرُواْ وَصَدُّواْ عَن سَبِيلِ ٱللَّهِ زِدۡنَٰهُمۡ عَذَابٗا فَوۡقَ ٱلۡعَذَابِ بِمَا كَانُواْ يُفۡسِدُونَ ﴾
[النَّحل: 88]

Wale walio kufuru na kuzuilia Njia ya Mwenyezi Mungu tutawazidishia adhabu juu ya adhabu, kwa walivyo kuwa wakifisidi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الذين كفروا وصدوا عن سبيل الله زدناهم عذابا فوق العذاب بما كانوا, باللغة السواحيلية

﴿الذين كفروا وصدوا عن سبيل الله زدناهم عذابا فوق العذاب بما كانوا﴾ [النَّحل: 88]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wale ambao waliukanusha upweke wa Mwenyezi Mungu na unabii wako, ewe mtume, na wakakukanusha wewe, wakawakataza wengine wasimuamini Mwenyezi Mungu na Mtume Wake, tutawazidishia adhabu juu ya ukanushaji wao na adhabu juu ya kuwazuia watu kuifuata haki. Na hili ni kwa sababu ya kukusudia kwao kufanya uharibifu na kuwapoteza waja kwa ukafiri na uasi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek