Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 104 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَقُلۡنَا مِنۢ بَعۡدِهِۦ لِبَنِيٓ إِسۡرَٰٓءِيلَ ٱسۡكُنُواْ ٱلۡأَرۡضَ فَإِذَا جَآءَ وَعۡدُ ٱلۡأٓخِرَةِ جِئۡنَا بِكُمۡ لَفِيفٗا ﴾
[الإسرَاء: 104]
﴿وقلنا من بعده لبني إسرائيل اسكنوا الأرض فإذا جاء وعد الآخرة جئنا﴾ [الإسرَاء: 104]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na tukasema, baada ya kuangamia Fir’awn na askari wake, kuwaambia Wana wa Isrāīl, «Kaeni ardhi ya Sham. Na itakapo kuja Siku ya Kiyama, tutawaleta nyote kutoka makaburini mwenu kufika kwenye kisimamo cha kuhesabiwa.» |