Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 103 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿فَأَرَادَ أَن يَسۡتَفِزَّهُم مِّنَ ٱلۡأَرۡضِ فَأَغۡرَقۡنَٰهُ وَمَن مَّعَهُۥ جَمِيعٗا ﴾
[الإسرَاء: 103]
﴿فأراد أن يستفزهم من الأرض فأغرقناه ومن معه جميعا﴾ [الإسرَاء: 103]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hapo Fir'awn akataka kumbabaisha Mūsā na kumtoa pamoja na Wana wa Isrāīl kwenye ardhi ya Misri, tukamuanagamiza baharini yeye na askari waliokuwa pamoja na yeye kwa kuwatesa |