×

Wala usiufanye mkono wako kama ulio fungwa shingoni mwako, wala usiukunjue wote 17:29 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:29) ayat 29 in Swahili

17:29 Surah Al-Isra’ ayat 29 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 29 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿وَلَا تَجۡعَلۡ يَدَكَ مَغۡلُولَةً إِلَىٰ عُنُقِكَ وَلَا تَبۡسُطۡهَا كُلَّ ٱلۡبَسۡطِ فَتَقۡعُدَ مَلُومٗا مَّحۡسُورًا ﴾
[الإسرَاء: 29]

Wala usiufanye mkono wako kama ulio fungwa shingoni mwako, wala usiukunjue wote kabisa, utabaki ukilaumiwa muflisi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ولا تجعل يدك مغلولة إلى عنقك ولا تبسطها كل البسط فتقعد ملوما, باللغة السواحيلية

﴿ولا تجعل يدك مغلولة إلى عنقك ولا تبسطها كل البسط فتقعد ملوما﴾ [الإسرَاء: 29]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wala usiuzuie mkono wako kutumia katika njia njema, ukaidhiki nafsi yako na watu wako na wahitaji, na wala usipite kiasi katika matumizi ukatoa zaidi ya uwezo wako, kwani ukifanya hivyo utaketi hali ya kuwa ni mwenye kulaumiwa, kwani watu watakulaumu na watakutukana, na ni mwenye kujuta juu ya ufujaji wako na mali yako kupotea
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek