Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 45 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَإِذَا قَرَأۡتَ ٱلۡقُرۡءَانَ جَعَلۡنَا بَيۡنَكَ وَبَيۡنَ ٱلَّذِينَ لَا يُؤۡمِنُونَ بِٱلۡأٓخِرَةِ حِجَابٗا مَّسۡتُورٗا ﴾
[الإسرَاء: 45]
﴿وإذا قرأت القرآن جعلنا بينك وبين الذين لا يؤمنون بالآخرة حجابا مستورا﴾ [الإسرَاء: 45]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na usomapo Qur’ani wakaisikia hawa washirikina, tunaweka baina yako wewe na hawa wasioiamini Akhera pazia yenye kusitiri ili kuziziba akili zao wasiifahamu Qur’ani, ikiwa ni mateso kwao kwa ukafiri wao na kukanusha kwao |