×

Na Mola wako Mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi. Na 17:55 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:55) ayat 55 in Swahili

17:55 Surah Al-Isra’ ayat 55 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 55 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿وَرَبُّكَ أَعۡلَمُ بِمَن فِي ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِۗ وَلَقَدۡ فَضَّلۡنَا بَعۡضَ ٱلنَّبِيِّـۧنَ عَلَىٰ بَعۡضٖۖ وَءَاتَيۡنَا دَاوُۥدَ زَبُورٗا ﴾
[الإسرَاء: 55]

Na Mola wako Mlezi anawajua vilivyo waliomo mbinguni na katika ardhi. Na hakika tumewafadhilisha baadhi ya Manabii kuliko wengine; na Daudi tulimpa Zaburi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وربك أعلم بمن في السموات والأرض ولقد فضلنا بعض النبيين على بعض, باللغة السواحيلية

﴿وربك أعلم بمن في السموات والأرض ولقد فضلنا بعض النبيين على بعض﴾ [الإسرَاء: 55]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na Mola wako, ewe Mtume, Anawajua zaidi walioko mbinguni na ardhini, na tumewafadhilisha baadhi ya Mitume juu ya wengine kwa matukufu, wingi wa wafuasi na kuwateremshia Vitabu, na Dawud, amani imshukiye, tumempa Zaburi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek