×

Sema: Waombeni hao mnao wadaia badala yake Yeye. Hawawezi kukuondoleeni madhara, wala 17:56 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:56) ayat 56 in Swahili

17:56 Surah Al-Isra’ ayat 56 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 56 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿قُلِ ٱدۡعُواْ ٱلَّذِينَ زَعَمۡتُم مِّن دُونِهِۦ فَلَا يَمۡلِكُونَ كَشۡفَ ٱلضُّرِّ عَنكُمۡ وَلَا تَحۡوِيلًا ﴾
[الإسرَاء: 56]

Sema: Waombeni hao mnao wadaia badala yake Yeye. Hawawezi kukuondoleeni madhara, wala kuyaweka pengine

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قل ادعوا الذين زعمتم من دونه فلا يملكون كشف الضر عنكم ولا, باللغة السواحيلية

﴿قل ادعوا الذين زعمتم من دونه فلا يملكون كشف الضر عنكم ولا﴾ [الإسرَاء: 56]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sema, ewe Mtume, kuwaambia washirikina wa Makkah, «Hawa masanamu mnaowaita wawaondolee shida hawawezi hilo wala hawawezi kuiyepusha kwenu nyinyi kuipeleka kwa wengine, na pia hawawezi kuigeuza kutoka namna ilivyo kuifanya namna nyingine, Mwenye kuweza hilo ni Mwenyezi Mungu Peke Yake.» Aya hii inakusanya kila anayeombwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, miongoni mwa Manabii, watu wema na wasiokuwa hao, kwa tamko la istighāthah (kutaka uokozi) au du'a’ (maombi) au mfano wake, kwani hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek