×

Mola wenu Mlezi ndiye anaye kuendesheeni marikebu katika bahari ili mtafute katika 17:66 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:66) ayat 66 in Swahili

17:66 Surah Al-Isra’ ayat 66 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 66 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿رَّبُّكُمُ ٱلَّذِي يُزۡجِي لَكُمُ ٱلۡفُلۡكَ فِي ٱلۡبَحۡرِ لِتَبۡتَغُواْ مِن فَضۡلِهِۦٓۚ إِنَّهُۥ كَانَ بِكُمۡ رَحِيمٗا ﴾
[الإسرَاء: 66]

Mola wenu Mlezi ndiye anaye kuendesheeni marikebu katika bahari ili mtafute katika fadhila zake. Hakika Yeye ni Mwenye kukurehemuni nyinyi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ربكم الذي يزجي لكم الفلك في البحر لتبتغوا من فضله إنه كان, باللغة السواحيلية

﴿ربكم الذي يزجي لكم الفلك في البحر لتبتغوا من فضله إنه كان﴾ [الإسرَاء: 66]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mola wenu, enyi watu, Ndiye Anayewaendeshea vyombo vya kusafiria baharini ili mtafute riziki ya Mwenyezi Mungu katika safari zenu na biashara zenu. Hakika Mwenyezi Mungu , kutakata na sifa za upungufu ni Kwake, ni Mwingi wa huruma kwa waja Wake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek