Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 65 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿إِنَّ عِبَادِي لَيۡسَ لَكَ عَلَيۡهِمۡ سُلۡطَٰنٞۚ وَكَفَىٰ بِرَبِّكَ وَكِيلٗا ﴾
[الإسرَاء: 65]
﴿إن عبادي ليس لك عليهم سلطان وكفى بربك وكيلا﴾ [الإسرَاء: 65]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Hakika waja wangu Waumini waliyotakaswa ambao walinitii, wewe huna uwezo wa kuwapoteza.» Na inatosha kuwa Mola wako , ewe Mtume, kuwa Ndiye Mwenye kuwalinda na kuwahifadhi Waumini kutokana na vitimbi vya Shetani na udanganyifu wake |