×

Hapo basi bila ya shaka tungeli kuonjesha adhabu mardufu ya uhai, na 17:75 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:75) ayat 75 in Swahili

17:75 Surah Al-Isra’ ayat 75 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 75 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿إِذٗا لَّأَذَقۡنَٰكَ ضِعۡفَ ٱلۡحَيَوٰةِ وَضِعۡفَ ٱلۡمَمَاتِ ثُمَّ لَا تَجِدُ لَكَ عَلَيۡنَا نَصِيرٗا ﴾
[الإسرَاء: 75]

Hapo basi bila ya shaka tungeli kuonjesha adhabu mardufu ya uhai, na adhabu mardufu ya kifo. Kisha usinge pata mtu wa kukunusuru nasi

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إذا لأذقناك ضعف الحياة وضعف الممات ثم لا تجد لك علينا نصيرا, باللغة السواحيلية

﴿إذا لأذقناك ضعف الحياة وضعف الممات ثم لا تجد لك علينا نصيرا﴾ [الإسرَاء: 75]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na lau ulielemea, ewe Mtume, upande wa hawa washirikina maelemeo madogo katika yale waliyotaka kwako, basi tungalikuonjesha mara mbili zaidi ya adhabu ya duniani na mara mbili zaidi ya adhabu ya baada ya kufa kesho Akhera, hivyo ni kwa ajili ya kutimia neema ya Mwenyezi Mungu kwako na ukamilifu wa kumjua Mola wako, kisha hutampata yoyote mwenye kukuepushia adhabu yetu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek