Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 74 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿وَلَوۡلَآ أَن ثَبَّتۡنَٰكَ لَقَدۡ كِدتَّ تَرۡكَنُ إِلَيۡهِمۡ شَيۡـٔٗا قَلِيلًا ﴾
[الإسرَاء: 74]
﴿ولولا أن ثبتناك لقد كدت تركن إليهم شيئا قليلا﴾ [الإسرَاء: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na lau si sisi kukuimarisha kwenye haki na kukuhifadhi usikubaliane nao, ungalikaribia kuelemea kwao kidogo katika yale waliyokushauri kwa nguvu za udanganyifu wao na wingi wa hila zao na kuwa na hamu kwako waongoke |