×

Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke 17:81 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:81) ayat 81 in Swahili

17:81 Surah Al-Isra’ ayat 81 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 81 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿وَقُلۡ جَآءَ ٱلۡحَقُّ وَزَهَقَ ٱلۡبَٰطِلُۚ إِنَّ ٱلۡبَٰطِلَ كَانَ زَهُوقٗا ﴾
[الإسرَاء: 81]

Na sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقل جاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا, باللغة السواحيلية

﴿وقل جاء الحق وزهق الباطل إن الباطل كان زهوقا﴾ [الإسرَاء: 81]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na useme, ewe Mtume, kuwaambia washirikina, «Uislamu umekuja na ushirikina umeondoka. Kwani ubatilifu hauna kusalia wala kujikita, na ukweli ndio wenye kuimarika na kusalia ambao hauondoki.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek