×

Na sema: Mola wangu Mlezi! Niingize muingizo mwema, na unitoe kutoka kwema. 17:80 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Isra’ ⮕ (17:80) ayat 80 in Swahili

17:80 Surah Al-Isra’ ayat 80 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 80 - الإسرَاء - Page - Juz 15

﴿وَقُل رَّبِّ أَدۡخِلۡنِي مُدۡخَلَ صِدۡقٖ وَأَخۡرِجۡنِي مُخۡرَجَ صِدۡقٖ وَٱجۡعَل لِّي مِن لَّدُنكَ سُلۡطَٰنٗا نَّصِيرٗا ﴾
[الإسرَاء: 80]

Na sema: Mola wangu Mlezi! Niingize muingizo mwema, na unitoe kutoka kwema. Na unipe nguvu zinazo toka kwako zinisaidie

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وقل رب أدخلني مدخل صدق وأخرجني مخرج صدق واجعل لي من لدنك, باللغة السواحيلية

﴿وقل رب أدخلني مدخل صدق وأخرجني مخرج صدق واجعل لي من لدنك﴾ [الإسرَاء: 80]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na useme, «Mola wangu! Nitia matio mazuri katika jambo lililo lema kwangu na unitoe matoko mazuri kwenye mambo yaliyo mabaya kwangu, na unipatie hoja thabiti kutoka kwako yenye kuniokoa na wote wanaoenda kinyume na mimi.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek