Quran with Swahili translation - Surah Al-Isra’ ayat 87 - الإسرَاء - Page - Juz 15
﴿إِلَّا رَحۡمَةٗ مِّن رَّبِّكَۚ إِنَّ فَضۡلَهُۥ كَانَ عَلَيۡكَ كَبِيرٗا ﴾
[الإسرَاء: 87]
﴿إلا رحمة من ربك إن فضله كان عليك كبيرا﴾ [الإسرَاء: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Lakini Mwenyezi Mungu Alikurehemu, Akaithibitisha moyoni mwako, hakika wema Wake juu yako ni mkubwa. Yeye Amekupa hii Qur’ani tukufu, Al-Maqām al-Maḥmūd (Kisimamo Kishukuriwacho) na mengineyo miongoni mwa yale ambayo Hakumpa yoyote katika viumbe |