×

Basi huenda Mola wangu Mlezi akanipa kilicho bora kuliko kitalu chako, naye 18:40 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Kahf ⮕ (18:40) ayat 40 in Swahili

18:40 Surah Al-Kahf ayat 40 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 40 - الكَهف - Page - Juz 15

﴿فَعَسَىٰ رَبِّيٓ أَن يُؤۡتِيَنِ خَيۡرٗا مِّن جَنَّتِكَ وَيُرۡسِلَ عَلَيۡهَا حُسۡبَانٗا مِّنَ ٱلسَّمَآءِ فَتُصۡبِحَ صَعِيدٗا زَلَقًا ﴾
[الكَهف: 40]

Basi huenda Mola wangu Mlezi akanipa kilicho bora kuliko kitalu chako, naye akapitisha kudra yake kutoka mbinguni kukilitea hicho chako, na kikageuka ardhi tupu inayo teleza

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فعسى ربي أن يؤتين خيرا من جنتك ويرسل عليها حسبانا من السماء, باللغة السواحيلية

﴿فعسى ربي أن يؤتين خيرا من جنتك ويرسل عليها حسبانا من السماء﴾ [الكَهف: 40]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
basi Mwenyezi Mungu huenda Akanipa mimi bora zaidi kuliko shamba lako, na Akakuondolea hiyo neema kwa ukafiri wako, na akailetea shamba yako adhabu kutoka mbinguni ikawa ni ardhi tupu iliyo kavu ambayo nyayo haziwezi kuthibiti juu yake wala hakuna mmea unaoota
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek