Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 64 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿قَالَ ذَٰلِكَ مَا كُنَّا نَبۡغِۚ فَٱرۡتَدَّا عَلَىٰٓ ءَاثَارِهِمَا قَصَصٗا ﴾
[الكَهف: 64]
﴿قال ذلك ما كنا نبغ فارتدا على آثارهما قصصا﴾ [الكَهف: 64]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akasema, «Yaliyotokea ndiyo ambayo tulikuwa tukiyataka, kwani hiyo ni alama yangu ya mahali pa mja mwema.» Hapo wakarudi wakizifuata alama za nyayo zao mpaka wakakoma kwenye jiwe |