Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 68 - الكَهف - Page - Juz 15
﴿وَكَيۡفَ تَصۡبِرُ عَلَىٰ مَا لَمۡ تُحِطۡ بِهِۦ خُبۡرٗا ﴾
[الكَهف: 68]
﴿وكيف تصبر على ما لم تحط به خبرا﴾ [الكَهف: 68]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na utakuwa na uvumilivu kwa nitakalolifanya miongoni mwa mambo yaliyofichika kwako ambayo Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Alinifundisha |