Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 76 - الكَهف - Page - Juz 16
﴿قَالَ إِن سَأَلۡتُكَ عَن شَيۡءِۭ بَعۡدَهَا فَلَا تُصَٰحِبۡنِيۖ قَدۡ بَلَغۡتَ مِن لَّدُنِّي عُذۡرٗا ﴾
[الكَهف: 76]
﴿قال إن سألتك عن شيء بعدها فلا تصاحبني قد بلغت من لدني﴾ [الكَهف: 76]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mūsā akamwambia, «Nikikuuliza kitu baada ya mara hii, niache na usifuatane na mimi, utakuwa ushapata sababu kuhusu mimi na hutakuwa umefanya kasoro, kwa kuwa ulinambia kwamba mimi sitaweza kuvumilia pamoja na wewe.» |