Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 75 - الكَهف - Page - Juz 16
﴿۞ قَالَ أَلَمۡ أَقُل لَّكَ إِنَّكَ لَن تَسۡتَطِيعَ مَعِيَ صَبۡرٗا ﴾
[الكَهف: 75]
﴿قال ألم أقل لك إنك لن تستطيع معي صبرا﴾ [الكَهف: 75]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Akasema Al-Khiḍr kumwambia Mūsā kwa kumlaumu na kumkumbusha, «Je, sikukwambia kuwa wewe hutoweza kuvumilia pamoja na mimi kwa matendo unayoyaona kutoka kwangu katika yale ambayo hayakuzungukwa na ujuzi wako?» |