Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 88 - الكَهف - Page - Juz 16
﴿وَأَمَّا مَنۡ ءَامَنَ وَعَمِلَ صَٰلِحٗا فَلَهُۥ جَزَآءً ٱلۡحُسۡنَىٰۖ وَسَنَقُولُ لَهُۥ مِنۡ أَمۡرِنَا يُسۡرٗا ﴾
[الكَهف: 88]
﴿وأما من آمن وعمل صالحا فله جزاء الحسنى وسنقول له من أمرنا﴾ [الكَهف: 88]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Na ama aliyemuamini Mola wake miongoni mwao, akamkubali, akampwekesha na akafanya matendo ya utiifu Kwake, basi atapata Pepo ikiwa ni malipo kutoka kwa Mwenyezi Mungu, na tutamfanyia wema na tutasema naye kwa upole na tutaamiliana naye kwa usahali.» |