Quran with Swahili translation - Surah Al-Kahf ayat 97 - الكَهف - Page - Juz 16
﴿فَمَا ٱسۡطَٰعُوٓاْ أَن يَظۡهَرُوهُ وَمَا ٱسۡتَطَٰعُواْ لَهُۥ نَقۡبٗا ﴾
[الكَهف: 97]
﴿فما اسطاعوا أن يظهروه وما استطاعوا له نقبا﴾ [الكَهف: 97]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hawakuweza Ya’jūj na Ma’jūj kupanda juu ya kile kizuizi kwa kuwa kilikuwa kirefu na kinateleza, na hawakuweza kukitoboa kwa chini yake kwa umbali wa upana wake na ugumu wake |