Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 10 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿قَالَ رَبِّ ٱجۡعَل لِّيٓ ءَايَةٗۖ قَالَ ءَايَتُكَ أَلَّا تُكَلِّمَ ٱلنَّاسَ ثَلَٰثَ لَيَالٖ سَوِيّٗا ﴾
[مَريَم: 10]
﴿قال رب اجعل لي آية قال آيتك ألا تكلم الناس ثلاث ليال﴾ [مَريَم: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Zakariyyā akasema kutaka kujituliza zaidi, «Mola wangu! Nipe alama ya kwamba kile ambacho Malaika wamenibashiria nacho kishapatikana.» Akasema, «Alama yako ni kutoweza kusema na watu kwa muda wa masiku matatu na michana yake na hali wewe ni mzima mwenye afya.» |