Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 15 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَسَلَٰمٌ عَلَيۡهِ يَوۡمَ وُلِدَ وَيَوۡمَ يَمُوتُ وَيَوۡمَ يُبۡعَثُ حَيّٗا ﴾
[مَريَم: 15]
﴿وسلام عليه يوم ولد ويوم يموت ويوم يبعث حيا﴾ [مَريَم: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na salamu itokayo kwa Mwenyezi Mungu imshukie Yah,yā na amani iwe na yeye siku alipozaliwa na siku atakapokufa na siku atakapofufuliwa hali ya kuwa hai |