Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 16 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَٱذۡكُرۡ فِي ٱلۡكِتَٰبِ مَرۡيَمَ إِذِ ٱنتَبَذَتۡ مِنۡ أَهۡلِهَا مَكَانٗا شَرۡقِيّٗا ﴾
[مَريَم: 16]
﴿واذكر في الكتاب مريم إذ انتبذت من أهلها مكانا شرقيا﴾ [مَريَم: 16]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na utaje, ewe Mtume, katika hii Qur’ani habari ya Maryam alipojiweka mbali na watu wake, akajifanyia mahali upande wa Mashariki kando na wao |