Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 24 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿فَنَادَىٰهَا مِن تَحۡتِهَآ أَلَّا تَحۡزَنِي قَدۡ جَعَلَ رَبُّكِ تَحۡتَكِ سَرِيّٗا ﴾
[مَريَم: 24]
﴿فناداها من تحتها ألا تحزني قد جعل ربك تحتك سريا﴾ [مَريَم: 24]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Jibrili au 'Īsā akamwita na kumwambia, «usisikitike, kwani Mola wako amekufanyia chini yako mkondo wa maji |