Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 30 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿قَالَ إِنِّي عَبۡدُ ٱللَّهِ ءَاتَىٰنِيَ ٱلۡكِتَٰبَ وَجَعَلَنِي نَبِيّٗا ﴾
[مَريَم: 30]
﴿قال إني عبد الله آتاني الكتاب وجعلني نبيا﴾ [مَريَم: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Īsā akasema, na yeye yuko katika hali ya uchanga wa kuwa mlezini yuwanyonya, «Mimi ni mja wa Mwenyezi Mungu, Ameamua kunipatia Kitabu, nacho ni Injili, na amenifanya Nabii |