Quran with Swahili translation - Surah Maryam ayat 98 - مَريَم - Page - Juz 16
﴿وَكَمۡ أَهۡلَكۡنَا قَبۡلَهُم مِّن قَرۡنٍ هَلۡ تُحِسُّ مِنۡهُم مِّنۡ أَحَدٍ أَوۡ تَسۡمَعُ لَهُمۡ رِكۡزَۢا ﴾
[مَريَم: 98]
﴿وكم أهلكنا قبلهم من قرن هل تحس منهم من أحد أو تسمع﴾ [مَريَم: 98]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mara nyingi tumewaangamiza ummah waliotangulia kabla ya watu wako, humuoni yoyote miongoni mwao na husikii sauti yao, basi hivyo ndivyo watakavyokuwa makafiri wa watu wako, tutawaangamiza kama tulivyowaangamiza waliotanguli kabla yao. Katika hii pana onyo na agizo la kuwaangamiza wakanushaji wenye ushindani wa ubatilifu |