Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 131 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿إِذۡ قَالَ لَهُۥ رَبُّهُۥٓ أَسۡلِمۡۖ قَالَ أَسۡلَمۡتُ لِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[البَقَرَة: 131]
﴿إذ قال له ربه أسلم قال أسلمت لرب العالمين﴾ [البَقَرَة: 131]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na sababu ya kuchaguliwa kwake huku ni kukimbilia kwake kwenye Uislamu bila kusita. Alipoambiwa na Mola wake, “Itakase nafsi yako kwa Mwenyezi Mungu kwa kujisalimisha Kwake.» alikubali Ibrāhīm na kusema, “Nimejisalimisha kwa Mola wa viumbe vyote, kwa kumtakasa, kumpwekesha, kumpenda na kurudi Kwake kwa kutubia.” |