Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 15 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿ٱللَّهُ يَسۡتَهۡزِئُ بِهِمۡ وَيَمُدُّهُمۡ فِي طُغۡيَٰنِهِمۡ يَعۡمَهُونَ ﴾
[البَقَرَة: 15]
﴿الله يستهزئ بهم ويمدهم في طغيانهم يعمهون﴾ [البَقَرَة: 15]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu anawacheza shere wao na kuwapa muhula, ili wazidi kupotea, kuwa na shaka na kutokuwa na uamuzi, na Atawalipa kwa kuwacheza shere kwao Waislamu |