×

Hao ndio walio nunua upotofu kwa uwongofu; lakini biashara yao haikupata tija, 2:16 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:16) ayat 16 in Swahili

2:16 Surah Al-Baqarah ayat 16 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 16 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿أُوْلَٰٓئِكَ ٱلَّذِينَ ٱشۡتَرَوُاْ ٱلضَّلَٰلَةَ بِٱلۡهُدَىٰ فَمَا رَبِحَت تِّجَٰرَتُهُمۡ وَمَا كَانُواْ مُهۡتَدِينَ ﴾
[البَقَرَة: 16]

Hao ndio walio nunua upotofu kwa uwongofu; lakini biashara yao haikupata tija, wala hawakuwa wenye kuongoka

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أولئك الذين اشتروا الضلالة بالهدى فما ربحت تجارتهم وما كانوا مهتدين, باللغة السواحيلية

﴿أولئك الذين اشتروا الضلالة بالهدى فما ربحت تجارتهم وما كانوا مهتدين﴾ [البَقَرَة: 16]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hao ndio wanafiki. Wamejiuza wenyewe katika mapatano ya hasara. Walichukuwa ukafiri na kuacha Imani. Hawakupata faida yoyote, bali walipata hasara ya kukosa uongofu. Huko ndiko kupata hasara kukubwa
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek