×

Hakika wale wanao ficha tuliyo yateremsha -- nazo ni hoja zilizo wazi 2:159 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:159) ayat 159 in Swahili

2:159 Surah Al-Baqarah ayat 159 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 159 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿إِنَّ ٱلَّذِينَ يَكۡتُمُونَ مَآ أَنزَلۡنَا مِنَ ٱلۡبَيِّنَٰتِ وَٱلۡهُدَىٰ مِنۢ بَعۡدِ مَا بَيَّنَّٰهُ لِلنَّاسِ فِي ٱلۡكِتَٰبِ أُوْلَٰٓئِكَ يَلۡعَنُهُمُ ٱللَّهُ وَيَلۡعَنُهُمُ ٱللَّٰعِنُونَ ﴾
[البَقَرَة: 159]

Hakika wale wanao ficha tuliyo yateremsha -- nazo ni hoja zilizo wazi na uwongofu baada ya Sisi kuzibainisha kwa watu Kitabuni -- hao anawalaani Mwenyezi Mungu, na wanawalaani kila wenye kulaani

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن الذين يكتمون ما أنـزلنا من البينات والهدى من بعد ما بيناه, باللغة السواحيلية

﴿إن الذين يكتمون ما أنـزلنا من البينات والهدى من بعد ما بيناه﴾ [البَقَرَة: 159]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Hakika wale ambao wanazificha aya zilizo waziwazi, zijulishazo utume wa Muhammad, rehema ya Mwenyezi Mungu na amani zimshukie, na yale aliyokuja nayo, nao ni wanavyuoni wa Kiyahudi na wajuzi wa Kinaswara na wengineo, miongoni mwa wafichao yalyoteremshwa na Mwenyezi Mungu, baada ya sisi kuyadhihirisha kwa watu katika Taurati na Injili, hao Mwenyezi Mungu Atawafukuza kutoka kwenye rehema Yake, na viumbe wote watawaapiza laana
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek