×

Hao ndio watakao pata sehemu yao kwa sababu ya yale waliyo yachuma. 2:202 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:202) ayat 202 in Swahili

2:202 Surah Al-Baqarah ayat 202 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 202 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿أُوْلَٰٓئِكَ لَهُمۡ نَصِيبٞ مِّمَّا كَسَبُواْۚ وَٱللَّهُ سَرِيعُ ٱلۡحِسَابِ ﴾
[البَقَرَة: 202]

Hao ndio watakao pata sehemu yao kwa sababu ya yale waliyo yachuma. Na Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: أولئك لهم نصيب مما كسبوا والله سريع الحساب, باللغة السواحيلية

﴿أولئك لهم نصيب مما كسبوا والله سريع الحساب﴾ [البَقَرَة: 202]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Wale wenye kuomba dua hii wana thawabu kubwa kwa sababu ya amali njema walizozichuma. Mwenyezi Mungu ni mwepesi wa kuvihesabu vitendo vya waja wake na Mwenye kuwalipa navyo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek