×

Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za 2:207 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:207) ayat 207 in Swahili

2:207 Surah Al-Baqarah ayat 207 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 207 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿وَمِنَ ٱلنَّاسِ مَن يَشۡرِي نَفۡسَهُ ٱبۡتِغَآءَ مَرۡضَاتِ ٱللَّهِۚ وَٱللَّهُ رَءُوفُۢ بِٱلۡعِبَادِ ﴾
[البَقَرَة: 207]

Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake

❮ Previous Next ❯

ترجمة: ومن الناس من يشري نفسه ابتغاء مرضات الله والله رءوف بالعباد, باللغة السواحيلية

﴿ومن الناس من يشري نفسه ابتغاء مرضات الله والله رءوف بالعباد﴾ [البَقَرَة: 207]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na baadhi ya watu huziuza nafsi zao kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu, kwa kupigana jihadi katika njia Yake na kujilazimisha kumtii. Na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja, Anawarehemu waja wake Waumini rehema kunjufu, katika ulimwengu wao na Akhera yao, na kuwalipa malipo mazuri zaidi
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek