×

Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa 2:209 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:209) ayat 209 in Swahili

2:209 Surah Al-Baqarah ayat 209 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 209 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿فَإِن زَلَلۡتُم مِّنۢ بَعۡدِ مَا جَآءَتۡكُمُ ٱلۡبَيِّنَٰتُ فَٱعۡلَمُوٓاْ أَنَّ ٱللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴾
[البَقَرَة: 209]

Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima

❮ Previous Next ❯

ترجمة: فإن زللتم من بعد ما جاءتكم البينات فاعلموا أن الله عزيز حكيم, باللغة السواحيلية

﴿فإن زللتم من بعد ما جاءتكم البينات فاعلموا أن الله عزيز حكيم﴾ [البَقَرَة: 209]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na iwapo mtapondoka kwenye njia ya haki, baada ya kujiliwa na hoja wazi-wazi za Qur’ani na Suna, basi jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mshindi katika ufalme Wake, hakuna chochote kilicho nje ya mamlaka Yake, ni Mwingi wa hekima kwenye amri Zake na Makatazo yake, Anaweka kila kitu pahali pake palinganapo nacho
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek