×

Zilindeni Sala, na khasa Sala ya katikati, na simameni kwa ajili ya 2:238 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:238) ayat 238 in Swahili

2:238 Surah Al-Baqarah ayat 238 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 238 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿حَٰفِظُواْ عَلَى ٱلصَّلَوَٰتِ وَٱلصَّلَوٰةِ ٱلۡوُسۡطَىٰ وَقُومُواْ لِلَّهِ قَٰنِتِينَ ﴾
[البَقَرَة: 238]

Zilindeni Sala, na khasa Sala ya katikati, na simameni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu nanyi ni wenye kuqunuti (kunyenyekea)

❮ Previous Next ❯

ترجمة: حافظوا على الصلوات والصلاة الوسطى وقوموا لله قانتين, باللغة السواحيلية

﴿حافظوا على الصلوات والصلاة الوسطى وقوموا لله قانتين﴾ [البَقَرَة: 238]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Zihifadhini, enyi Waislamu, Swala tano zilizofaradhiwa kwa kudumu nazo katika kuzitekeleza kwa nyakati zake, masharuti yake, nguzo zake yanayopasa yake. Na muhufadhi swala iliyo katikati ya swala hizo, nayo ni Swala ya Alasir Na simameni katika Swala zenu hali ya kumtii Mwenyezi Mungu, kumnyenyekea na kumdhalilikia
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek