×

Na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa Sharia. Haya 2:241 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:241) ayat 241 in Swahili

2:241 Surah Al-Baqarah ayat 241 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 241 - البَقَرَة - Page - Juz 2

﴿وَلِلۡمُطَلَّقَٰتِ مَتَٰعُۢ بِٱلۡمَعۡرُوفِۖ حَقًّا عَلَى ٱلۡمُتَّقِينَ ﴾
[البَقَرَة: 241]

Na wanawake walio achwa wapewe cha kuwaliwaza kwa mujibu wa Sharia. Haya ni waajibu kwa wachamngu

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وللمطلقات متاع بالمعروف حقا على المتقين, باللغة السواحيلية

﴿وللمطلقات متاع بالمعروف حقا على المتقين﴾ [البَقَرَة: 241]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na wanawake waliotalikiwa wanastahiki wapewe kiliwazo cha mavazi na matumizi kwa mujibu wa mpango unaojulikana na kupendekezwa na kisheria. Hiyo ikiwa ni haki juu ya wale wanaomuogopa Mwenyezi Mungu katika amri Zake na Makatazo Yake
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek