Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 242 - البَقَرَة - Page - Juz 2
﴿كَذَٰلِكَ يُبَيِّنُ ٱللَّهُ لَكُمۡ ءَايَٰتِهِۦ لَعَلَّكُمۡ تَعۡقِلُونَ ﴾
[البَقَرَة: 242]
﴿كذلك يبين الله لكم آياته لعلكم تعقلون﴾ [البَقَرَة: 242]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mfano wa maelezo hayo yaliyo wazi, katika hukumu za watoto na wanawake, Anawabainishia Mwenyezi Mungu mafunzo aya Zake na hukumu Zake kuhusu kila mnachokihitajia katika maisha yenu ya ulimwengu na marejeo yenu ya Akhera, ili mzitie akilini nz mzitumie |