Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 263 - البَقَرَة - Page - Juz 3
﴿۞ قَوۡلٞ مَّعۡرُوفٞ وَمَغۡفِرَةٌ خَيۡرٞ مِّن صَدَقَةٖ يَتۡبَعُهَآ أَذٗىۗ وَٱللَّهُ غَنِيٌّ حَلِيمٞ ﴾
[البَقَرَة: 263]
﴿قول معروف ومغفرة خير من صدقة يتبعها أذى والله غني حليم﴾ [البَقَرَة: 263]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Maneno mazuri kujibiwa muombaji na kusamehe utiriri wake katika kuomba, ni bora kuliko sadaka inayofuatiwa na kero na ubaya kutoka kwa mtoaji sadaka. Na Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Hana haja ya sadaka za waja, ni Mpole Hana haraka nao ya kuwatesa |