×

Na chochote mnacho toa au nadhiri mnazo weka basi hakika Mwenyezi Mungu 2:270 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:270) ayat 270 in Swahili

2:270 Surah Al-Baqarah ayat 270 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 270 - البَقَرَة - Page - Juz 3

﴿وَمَآ أَنفَقۡتُم مِّن نَّفَقَةٍ أَوۡ نَذَرۡتُم مِّن نَّذۡرٖ فَإِنَّ ٱللَّهَ يَعۡلَمُهُۥۗ وَمَا لِلظَّٰلِمِينَ مِنۡ أَنصَارٍ ﴾
[البَقَرَة: 270]

Na chochote mnacho toa au nadhiri mnazo weka basi hakika Mwenyezi Mungu anajua. Na walio dhulumu hawana wa kuwanusuru

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وما أنفقتم من نفقة أو نذرتم من نذر فإن الله يعلمه وما, باللغة السواحيلية

﴿وما أنفقتم من نفقة أو نذرتم من نذر فإن الله يعلمه وما﴾ [البَقَرَة: 270]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mali yoyote mnayoyatoa na mengineyo, machache au mengi, au sadaka mnayoitoa kwa kutaka radhi ya Mwenyezi Mungu, au mkajilazimisha nafsi zenu chochote, cha mali au kinginecho, basi Mwenyezi Mungu Anayajua hayo; na Yeye Ndiye Mwenye kuchungulia nia zenu, na Atawalipa kwa hayo. Na yoyote mwenye kuzuia haki ya Mwenyezi Mungu ni dhalimu. Na madhalimu hawana wenye kuwanusuru ambao watawazuia wasipate adhabu ya Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek