Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 53 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿وَإِذۡ ءَاتَيۡنَا مُوسَى ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡفُرۡقَانَ لَعَلَّكُمۡ تَهۡتَدُونَ ﴾
[البَقَرَة: 53]
﴿وإذ آتينا موسى الكتاب والفرقان لعلكم تهتدون﴾ [البَقَرَة: 53]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Kumbukeni neema Yetu juu yenu, tulipompa Mūsā Kitabu chenye kupambanua baina ya haki na batili- nacho ni Taurati- ili muongoke na mtoke kwenye upotevu |