Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 52 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿ثُمَّ عَفَوۡنَا عَنكُم مِّنۢ بَعۡدِ ذَٰلِكَ لَعَلَّكُمۡ تَشۡكُرُونَ ﴾
[البَقَرَة: 52]
﴿ثم عفونا عنكم من بعد ذلك لعلكم تشكرون﴾ [البَقَرَة: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawasamehe kitendo hiki kibaya, tukakubali toba yenu baada ya kurudi Musa kwa kutarajia kuwa mtamshukuru Mwenyezi Mungu kwa neema Zake na fadhila Zake juu yenu, na hamtaendelea kwenye ukafiri na uasi |