Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 99 - البَقَرَة - Page - Juz 1
﴿وَلَقَدۡ أَنزَلۡنَآ إِلَيۡكَ ءَايَٰتِۭ بَيِّنَٰتٖۖ وَمَا يَكۡفُرُ بِهَآ إِلَّا ٱلۡفَٰسِقُونَ ﴾
[البَقَرَة: 99]
﴿ولقد أنـزلنا إليك آيات بينات وما يكفر بها إلا الفاسقون﴾ [البَقَرَة: 99]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika tulikuteremshia aya zilizo wazi, zinazoonyesha kuwa wewe ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kikweli; na hawazikanushi aya hizo isipokuwa wenye kutoka nje ya Dini ya Mwenyezi Mungu |