Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 101 - طه - Page - Juz 16
﴿خَٰلِدِينَ فِيهِۖ وَسَآءَ لَهُمۡ يَوۡمَ ٱلۡقِيَٰمَةِ حِمۡلٗا ﴾
[طه: 101]
﴿خالدين فيه وساء لهم يوم القيامة حملا﴾ [طه: 101]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hao watakaa milele kwenye adhabu, na utawakera mzigo huo mzito wa madhambi kwa kuwa umewatia Motoni |