Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 102 - طه - Page - Juz 16
﴿يَوۡمَ يُنفَخُ فِي ٱلصُّورِۚ وَنَحۡشُرُ ٱلۡمُجۡرِمِينَ يَوۡمَئِذٖ زُرۡقٗا ﴾
[طه: 102]
﴿يوم ينفخ في الصور ونحشر المجرمين يومئذ زرقا﴾ [طه: 102]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku Malaika watakapovuvia kwenye pembe ili kutoa ukulele wa kufufuliwa na tuwaongoze makafiri siku hiyo wakiwa rangi ya buluu, miili yao imegeuka na pia macho yao kwa matukio makubwa yaliyojiri |