Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 110 - طه - Page - Juz 16
﴿يَعۡلَمُ مَا بَيۡنَ أَيۡدِيهِمۡ وَمَا خَلۡفَهُمۡ وَلَا يُحِيطُونَ بِهِۦ عِلۡمٗا ﴾
[طه: 110]
﴿يعلم ما بين أيديهم وما خلفهم ولا يحيطون به علما﴾ [طه: 110]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Anayajuwa mambo ya Kiyama yaliyoko mbele ya watu na mambo ya dunia yaliyoko nyuma yao, na viumbe Vyake hawamzunguki kwa kumjua, kutakata na sifa za upungufu ni Kwake na kutukuka ni Kwake |