Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 118 - طه - Page - Juz 16
﴿إِنَّ لَكَ أَلَّا تَجُوعَ فِيهَا وَلَا تَعۡرَىٰ ﴾
[طه: 118]
﴿إن لك ألا تجوع فيها ولا تعرى﴾ [طه: 118]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Hakika yako wewe, ewe Ādam, una neema ya kula kwenye Pepo hii na hutashikwa na njaa, na pia kuvaa na hutakaa tupu |