×

(Mwenyezi Mungu) atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na 20:126 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:126) ayat 126 in Swahili

20:126 Surah Ta-Ha ayat 126 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 126 - طه - Page - Juz 16

﴿قَالَ كَذَٰلِكَ أَتَتۡكَ ءَايَٰتُنَا فَنَسِيتَهَاۖ وَكَذَٰلِكَ ٱلۡيَوۡمَ تُنسَىٰ ﴾
[طه: 126]

(Mwenyezi Mungu) atasema: Ndivyo vivyo hivyo. Zilikufikia ishara zetu, nawe ukazisahau; na kadhaalika leo unasahauliwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال كذلك أتتك آياتنا فنسيتها وكذلك اليوم تنسى, باللغة السواحيلية

﴿قال كذلك أتتك آياتنا فنسيتها وكذلك اليوم تنسى﴾ [طه: 126]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Mwenyezi Mungu Atasema kumwambia, «Nimekufufua ukiwa kipofu, kwa kuwa wewe zilikujia aya zetu zikiwa na hoja waziwazi, ukazipa mgongo na usiziamini. Na kama ulivyoziacha ulimwenguni, basi leo vilevile utaachwa Motoni
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek