Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 125 - طه - Page - Juz 16
﴿قَالَ رَبِّ لِمَ حَشَرۡتَنِيٓ أَعۡمَىٰ وَقَدۡ كُنتُ بَصِيرٗا ﴾
[طه: 125]
﴿قال رب لم حشرتني أعمى وقد كنت بصيرا﴾ [طه: 125]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Atasema huyo mwenye kuupa mgongo utajo wa Mwenyezi Mungu , «Mola wangu! Kwa nini umenifufua nikiwa kipofu na hali nilikuwa nikiona duniani?» |