×

Akasema: Hii ni fimbo yangu; naiegemea na ninawaangushia majani kondoo na mbuzi 20:18 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Ta-Ha ⮕ (20:18) ayat 18 in Swahili

20:18 Surah Ta-Ha ayat 18 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Ta-Ha ayat 18 - طه - Page - Juz 16

﴿قَالَ هِيَ عَصَايَ أَتَوَكَّؤُاْ عَلَيۡهَا وَأَهُشُّ بِهَا عَلَىٰ غَنَمِي وَلِيَ فِيهَا مَـَٔارِبُ أُخۡرَىٰ ﴾
[طه: 18]

Akasema: Hii ni fimbo yangu; naiegemea na ninawaangushia majani kondoo na mbuzi wangu. Tena inanifaa kwa matumizi mengine

❮ Previous Next ❯

ترجمة: قال هي عصاي أتوكأ عليها وأهش بها على غنمي ولي فيها مآرب, باللغة السواحيلية

﴿قال هي عصاي أتوكأ عليها وأهش بها على غنمي ولي فيها مآرب﴾ [طه: 18]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Akasema Mūsā, «Hii ni ni fimbo yangu, naitegemea katika kwenda na ninapigia miti ili mbuzi wangu walishe majani yake yanayoanguka na pia nina maslahi nayo mengine.»
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek